KISWAHILI
MAELEZO NA MAZOEZI
Maamkizi na adabu
Maamkizi au Salamu ni maneno ya heshima na adabu
yanaoyotumika kujuliana hali wakati watu wanapokutana.
Mifano ya Maamkizi
Salamu Jibu
1.Habari za asubuhi? - Nzuri au Njema
2.Hujambo! - Sijambo
3.Shikamoo! - Marahaba
4.U hali gani? - Njema
5.Waambaje - Naamba vyema
6.Mmeshindaje? - Salama/vyema
ADABU
Maneno ya adabu na heshima
Jibu
1.Hodi - Karibu
2.Karibu tule - Asante au starehe
3.Kwaheri - Kwaheri ya kuonana
4.Karibu kiti - Asante
1
, Maneno Zaidi ya adabu
1.Tafadhali niende haja.
2.Naomba uniazime kalamu yako.
3.Naomba msamaha kwa kukosa
4.Pole dada kwa kuumia
5.Yeye ni mama mjamzito
Zoezi la 1
Toa majibu ya salamu zifuatazo
1.Hujambo? _________________________
(nzuri, hatujambo, sijambo)
2.U hali gani? _______________________
(njema, salama, mzuri)
3.Umeshindaje? ________________________
(vizuri, mzima, vyema)
4._____________________ kitabu chako
(nataka, nipe, naomba)
5.Pole kaka_______________________
(niko, nimeshapoa, karibu)
2
MAELEZO NA MAZOEZI
Maamkizi na adabu
Maamkizi au Salamu ni maneno ya heshima na adabu
yanaoyotumika kujuliana hali wakati watu wanapokutana.
Mifano ya Maamkizi
Salamu Jibu
1.Habari za asubuhi? - Nzuri au Njema
2.Hujambo! - Sijambo
3.Shikamoo! - Marahaba
4.U hali gani? - Njema
5.Waambaje - Naamba vyema
6.Mmeshindaje? - Salama/vyema
ADABU
Maneno ya adabu na heshima
Jibu
1.Hodi - Karibu
2.Karibu tule - Asante au starehe
3.Kwaheri - Kwaheri ya kuonana
4.Karibu kiti - Asante
1
, Maneno Zaidi ya adabu
1.Tafadhali niende haja.
2.Naomba uniazime kalamu yako.
3.Naomba msamaha kwa kukosa
4.Pole dada kwa kuumia
5.Yeye ni mama mjamzito
Zoezi la 1
Toa majibu ya salamu zifuatazo
1.Hujambo? _________________________
(nzuri, hatujambo, sijambo)
2.U hali gani? _______________________
(njema, salama, mzuri)
3.Umeshindaje? ________________________
(vizuri, mzima, vyema)
4._____________________ kitabu chako
(nataka, nipe, naomba)
5.Pole kaka_______________________
(niko, nimeshapoa, karibu)
2