Kusoma
Somea Mwalimu wako hadithi hii
Siafu Kitandani
Samweli alipenda kuficha matunda mvungui mwa kitanda. Siu moja alipewa
kipande cha nanasi. Badala ya kukila,alikificha.
Usiku, siafu walivutiwa na harufu ya nanasi, wakingia nyumbani. Walianza
kula nanasi chumbani mwa Samweli. Siafu walipanda pia kwenye kitanda
cha Samweli kilichokuwa karibu na ukuta.
Samweli aligeuka akiwa bado amelala alilia kwa uchungu, “wooi, Wooi!”
Imla
1. __________________________________
2. __________________________________
3. ____________________________________
4. ______________________________________
5. ______________________________________
Jaza pengo uitumia maneno uliopewa
Sare ni 6. _________________ambayo 7 . ____________________ na wanafunzi
shuleni. Wanafunzi huvaa sare 8. _________________ kuwatambulisha. Sare,
vile vile huwatofautisha wanafunzi 9. ________________shule mbalimbali. Sare
za wanafunzi 10. ___________________, kike ni kama 11. _____________________
na sketi, marinda au blauzi na suruali. Sare 12. ___________________ wavulana
13. __________________ ni kama 14. ____________________ na kaptura au shati
na suruali. Mitandio na mabuibui 15. ____________________ huvaliwa na baadhi
ya wanafunzi wa kike.
1
, 6. A. Mavasi B. Mavazi C. Mavaazi D. Mapazi
7. A. Huvlika B. Uvaliwa C. Huvaliwa D. Huvalikwa
8. A. Hili B. Hivi C. ili D. Lile
9. A. Wa B. Ya C. La D. Za
10. A. Ya B. La C. Za D. Wa
11. A. Bluzi B. Blauzi C. Blausi D. Blazi
12. A. Ya B. Wa C. Za D. Ya
13. A. Wazo B. Wayo C. Walo D. Wacho
14. A. Sharti B. Chati C. Shati D. Charti
15. A. piya B. Pia C. Bia D.
Mpia
Andika kwa wingi
16. Mwanafunzi anapanda mti
___________________________________________
17. Raisi alihimiza tuwe na upendo
_______________________________________
18. Kipepeo yule ni maridadi
____________________________________________
19. Daktari anatibu
________________________________________________________
Piga mstari kivumishi katika sentensi zifuatazo
20. Halima anaimba vizuri.
21. Chumba cha Bololo ni safi.
22. Wanafunzi wanaandika kwa hati nzuri
23. Tumepata miti ishirini
Tumia nyakati zilizotajwa kutunga sentensi
2