Msamiati
Shambani
Udongo, mbegu, rutuba, kuvuna, mkulima, mbolea, nafaka, kupanda
- Nafaka: Ni punje /mbegu za mimea kama vile; mahindi, mtama,
mpunga, mawele na kadhalika zinazotumiwa kuwa chakula.
- Shambani: ni mahali pa shughuli nyingi kama vile kutayarisha
shamba na kukuzia mimea mbali mbali.
-
Baadhi ya kazi za shambani ni:-
1. Kufyeka – kukata nyasi au magugu kwa utumia kifyekeo.
2. Kulima – utayarisha shamba kwa kutumia jembe au plau
3. Kupanda – kuweka mbegu au mche ardhini ili ziote au zikue.
4. Kupalilia – ni kung’oa au kuondoa magugu au kwekwe shambani kwa
kutumia jembe au panga.
5. Kunyunyizia maji – ni kumwagilia mimea maji wakati wa kiangazi.
6. Kuvuna – Kuondoa mazao shambani baada ya kukomaa au kuwa
tayari
Zoezi
1. Kufyeka ni kuondoa ____________________ shambani.
2. Kuopanda ni kuweka ___________________ chini ya ardhi ili ziote
3. Majira ya kiangazi mimea hupandwa kwa ______________________ maji.
4. Mkulima hupiga dawa shambani ili kuwaua ______________________.
5. Kuvuna ni kutoa mazao shambani na kuweka ______________________.
6. __________________ ni kifaa cha kufyekea.
7. Mulima hutumia ______________________ kulima shambani
(kifyekeo, plau, magugu, mbegu, kunyunyizia, wadudu, galani)
, Kukanusha
*Kukanusha ni kukataa au kupinga, kukana kuwa si hivyo.
Mifano
1. Mimi nitachza mpira. Mimi sitacheza mpira.
2. Baba atasafiri kesho. Baba hatasafiri kesho.
3. Nitacheza nyimbo za kitamaduni. Sitacheza nyimbo za kitamaduni.
4. Juma anachuma mboga. Juma Hachumi mboga.
5. Naenda kuishi na shemeji. Siendi kuishi na shemeji.
Zoezi
Kanusha sentensi hizi
1. Nimepata bata wangu.
2. Kaka alishinda kwa shida.
3. Jana nilichana nywele zangu.
4. Alitoa doa kwenye kitambaa.
5. Hamadi alipata mali akanunua bata.
MSAMIATI
MAUMBO
Zigzagi
Duaradufu