NGELI
Ngeli ni kundi la nomino katika lugha lenye sifa zinazofanana kisarufi.
Ngeli ya A-WA
i. Ngeli ya A-WA I ya majina au nomino za wanadamu wanyama, na
wadudu.
Mifano
1. Umoja: Mtoto anasoma
Wingi: Watoto wanasoma
2. Umoja: Samaki amevuliwa
Wingi: Samaki Wamevuliwa
3. Umoja: Kasuku anaimba
Wingi Kasuku wanaimba
4. Umoja: Mbuzi anakula nyasi
Wingi: Mbuzi wanakula nyasi
5. Umoja: Kipepeo ana rangi nzuri
Wingi: Kipepeo wana rangi nzuri
Viashiria
- Kiashiria ni neno linalotumiwa kuonyesha mahali alipo mtu au kitu kilipo.
Kiashiria cha karibu, mbali au mbali sana.
Viashiria vya ngeli ya A-WA
Karibu Mbali Mbali sana
Umoja: Huyu Huyo Yule
Wingi: Hawa Hao Wale
Mifano Zaidi
1. Mwanafunzi huyu anasoma.
, Wanafunzi hawa wanasoma
2. Mwanafunzi huyo anasoma.
Wanafunzi hao wanasoma
3. Ng’ombe yule anakula mmea.
Ng’ombe wale wanakula mimea.
Zoezi
1. Mwalimu ________________________ ni wetu. (hawo, hao, huyo)
2. Paka ________________________ wamelala. (wale, yule, huyo)
3. Heroe _________________________ anaruka. (huyo, wale, hawa)
4. Kijana ______________________ anacheza. (yule, wale, hawa)
5. Chura __________________ anaruka. (huyu, hawa, hao)
Ngeli ya KI-VI
- Ni kundi la nomino ambalo katika umoja huanza na ki au ch na katika wingi
huanza na vi au vy
Mfano
Umoja Wingi
1. Kitanda Vitanda
2. Kioo Vioo
3. Choo Vyoo
4. Kitabu Vitabu
5. Chandarua Vyandarua
6. Kiti Viti
7. Kijiko Vijiko
8. Kijiti Vijiti
9. Kibiriti Vibiriti