MSAMIATI WA KISWAHILI
Vitendawili na Methali
- Haya ni maneno yanayoficha maana ya kitu yasijulikane
haraka.
- Humsaidia mtu kufikiria haraka na upesi ili apate jibu.
Vitendawili
1. Popote niendapo hunifuata – kivuli
2. Nanywa supu, natupa nyama – muwa
3. Tik tik kucha kutwa – saa
4. Nabii mwenye maneno mengi – Kitabu
5. Mgeni wa kila mtu ambaye hapendwi – kifo
6. Mlima wenye miti mieusi – kichwa
7. Naishi kati ya adui wawili – ulimi
8. Sungura amebeba ndovu – reli
9. Mzungu wangu ana mguu mmoja – uyoga
10. Watangaza lakini hauna mdomo – redio au runinga
Zoezi
(Redio, Moyo, Siafu, Mwezi, Kufuli, Popo, Shoka, Macho,
Usingizi, Uyoga, Msumari)
1. Mwanangu analia mwituni.
2. Nyumba yangu ina nguzo moja.
3. Ubwabwa wa mtoto mtamu.
Page 1 of 8
, 4. Kaka amelala akitangaza.
5. Askari mlangoni
6. Popoo mbili zavuka mto.
7. Ninayo saa ambayo haijawahi kusimama tangu itiwe ufunguo
8. Mkufu wangu mrefu laini hauvaliki shingoni
9. Taa yangu inang’aa usiku ulimwenguni.
10. Amlala huku akining’inia
Methali
Jadili maelezo ya methali zifuatazo
1. Macho hayana pazia
2. Dawa ya moto ni moto.
3. Mchimba kisima huingia mwenyewe.
4. Bendera hufuata upepo.
5. Mchagua jembe si mkulima.
6. Akiba haiozi.
7. Mtoto wa nyoka ni nyoka.
8. Asiyesikia la mkuu huvunika guu.
9. Haba na haba hujaza kibaba.
10. Pole pole ndio mwendo.
11. Mpanda ngazi hushuka.
12. Mtaka yote hukosa yote.
13. Mvumilivu hula mbivu.
Zoezi
Page 2 of 8
Vitendawili na Methali
- Haya ni maneno yanayoficha maana ya kitu yasijulikane
haraka.
- Humsaidia mtu kufikiria haraka na upesi ili apate jibu.
Vitendawili
1. Popote niendapo hunifuata – kivuli
2. Nanywa supu, natupa nyama – muwa
3. Tik tik kucha kutwa – saa
4. Nabii mwenye maneno mengi – Kitabu
5. Mgeni wa kila mtu ambaye hapendwi – kifo
6. Mlima wenye miti mieusi – kichwa
7. Naishi kati ya adui wawili – ulimi
8. Sungura amebeba ndovu – reli
9. Mzungu wangu ana mguu mmoja – uyoga
10. Watangaza lakini hauna mdomo – redio au runinga
Zoezi
(Redio, Moyo, Siafu, Mwezi, Kufuli, Popo, Shoka, Macho,
Usingizi, Uyoga, Msumari)
1. Mwanangu analia mwituni.
2. Nyumba yangu ina nguzo moja.
3. Ubwabwa wa mtoto mtamu.
Page 1 of 8
, 4. Kaka amelala akitangaza.
5. Askari mlangoni
6. Popoo mbili zavuka mto.
7. Ninayo saa ambayo haijawahi kusimama tangu itiwe ufunguo
8. Mkufu wangu mrefu laini hauvaliki shingoni
9. Taa yangu inang’aa usiku ulimwenguni.
10. Amlala huku akining’inia
Methali
Jadili maelezo ya methali zifuatazo
1. Macho hayana pazia
2. Dawa ya moto ni moto.
3. Mchimba kisima huingia mwenyewe.
4. Bendera hufuata upepo.
5. Mchagua jembe si mkulima.
6. Akiba haiozi.
7. Mtoto wa nyoka ni nyoka.
8. Asiyesikia la mkuu huvunika guu.
9. Haba na haba hujaza kibaba.
10. Pole pole ndio mwendo.
11. Mpanda ngazi hushuka.
12. Mtaka yote hukosa yote.
13. Mvumilivu hula mbivu.
Zoezi
Page 2 of 8