Msamiati Na Maoezi
Nafasi na wakati uliopita (Li) na wakati uliopo (Na)
Nafasi Viwakilishi Vikanushi
Mimi Ni Si
Sisi Tu Hatu
Wewe U Hu
Nyinyi M Ham
Yeye A Ha
Wao Wa Hawa
Mifano katika sentensi
1. Mimi ninapika chaula cha mchana.
2. Yeye analima kwa plau.
3. Wewe hukuja huleni jana.
4. Sisi tunacheza mpira.
5. Wao watakuja kwetu juma lijalo.
6. Nyinyi mmefua nguo zenu.
Wakati ujao (ta) na hali ya mazoea (hu)
Nafasi Viwakilishi Vikanushi
Mimi Ni Si
Sisi Tu Hatu
Wewe U Hu
Nyinyi M Ham
Yeye A Ha
, Wao Wa Hawa
Mfano Katika sentensi
1. Mimi nitacheza kiwanjani.
Mimi sitacheza kiwanjani.
2. Wewe huchora picha nzuri.
Wewe huchori picha nzuri.
3. Yeye ataendesha gari.
Yeye hataenesha gari
Zoezi
Andika sentensi tano katika wingi na ukanushe
Nafasi pamoja na wakati uliopita (Me)
- Huonyesha kitenso kimetendwa muda mfupi uliopita.
Mifano
Nafsi Viwakilishi Vikanushi
Mimi Ni Sija
Sisi Tu Hatuja
Wewe U Haja
Nyinyi M Hamja
Yeye A Haja
Wao Wa hawaja
Nafasi na wakati uliopita (Li) na wakati uliopo (Na)
Nafasi Viwakilishi Vikanushi
Mimi Ni Si
Sisi Tu Hatu
Wewe U Hu
Nyinyi M Ham
Yeye A Ha
Wao Wa Hawa
Mifano katika sentensi
1. Mimi ninapika chaula cha mchana.
2. Yeye analima kwa plau.
3. Wewe hukuja huleni jana.
4. Sisi tunacheza mpira.
5. Wao watakuja kwetu juma lijalo.
6. Nyinyi mmefua nguo zenu.
Wakati ujao (ta) na hali ya mazoea (hu)
Nafasi Viwakilishi Vikanushi
Mimi Ni Si
Sisi Tu Hatu
Wewe U Hu
Nyinyi M Ham
Yeye A Ha
, Wao Wa Hawa
Mfano Katika sentensi
1. Mimi nitacheza kiwanjani.
Mimi sitacheza kiwanjani.
2. Wewe huchora picha nzuri.
Wewe huchori picha nzuri.
3. Yeye ataendesha gari.
Yeye hataenesha gari
Zoezi
Andika sentensi tano katika wingi na ukanushe
Nafasi pamoja na wakati uliopita (Me)
- Huonyesha kitenso kimetendwa muda mfupi uliopita.
Mifano
Nafsi Viwakilishi Vikanushi
Mimi Ni Sija
Sisi Tu Hatuja
Wewe U Haja
Nyinyi M Hamja
Yeye A Haja
Wao Wa hawaja