Msamiati
Ndege / Nyuni
1. Ndege wengi huruka hewani.
2. Ndege hula kwa kutumia vidona.
3. Ndege wana manyonya milini.
4. Ndege hujishikilia matawi kwa kutumia kucha.
5. Ndege huishi viotani.
6. Mtoto wa ndege ni kinda.
Mifano ya Ndege
1. Tausi
2. Bundi
3. Heroe / Flamingo
Ndege / Nyuni
1. Ndege wengi huruka hewani.
2. Ndege hula kwa kutumia vidona.
3. Ndege wana manyonya milini.
4. Ndege hujishikilia matawi kwa kutumia kucha.
5. Ndege huishi viotani.
6. Mtoto wa ndege ni kinda.
Mifano ya Ndege
1. Tausi
2. Bundi
3. Heroe / Flamingo