1|Page
MSAMIATI
Semi
- Ni fungu la maneno linalotumiwa wa namna ili utoa
maana fulani.
- Semi ni maneno yanayoongza utamu katika lugha
Mifano
1. Piga miguu – kutembea kwa miguu
2. Kutumia ubongo – Kufikiria
3. Kwenda haja – Kwenda msalani
4. Piga chafya – chemua
5. Piga pasi – nyosha nguo
6. Kufa moyo – kata tamaa
7. Aga dunia – fariki, kata roho, kufa
8. Bidii ya mchwa – bidii kubwa
9. Kufunga safari – kuanza safari
10. Amiri jeshi – kamanda; mkuu wa kikosi cha
askari
11. Ana kwa ana – Uso kwa uso
12. Kuchapa kazi – kufanya kazi
, 2|Page
13. Bega kwa bega – kwa pamoja; kwa kushirikiana
14. Biwi la moto – moto mwingi
15. Bomoa mipango – haribu mipango
16. Kaa chonjo – kuwa tayari
17. Tega sikio – kusikiliza
18. Buheri wa afya – kuwa mzima; katika hali nzuri
kiafya
19. Bwaga mali – sahau; puuza acha
20. Tia nanga – kusimama
21. Bwaga moyo – tuliza moyo
22. Chafua (mtu) moyo – Kasirisha; udhi
23. Chambua nyama – toa nyama mfupani
24. Chapa kibao – piga kofi, tia adhabu
25. Vuja pesa – kutumia pesa vibaya
26. Kukata kiu – kunywa maji
27. Chapua miguu – tembea haraka haraka
28. Chemsha bongo – fikiri sana
29. Chemka – kasirika
30. Chanda na pete – rafiki wakubwa
31. Choma kisu – dunga kisu; shambulia kwa kisu
32. Kufua dafu – kufaulu
33. Kupanda ngazi – kuendelea
34. Angukia patupu – kutopata kitu
MSAMIATI
Semi
- Ni fungu la maneno linalotumiwa wa namna ili utoa
maana fulani.
- Semi ni maneno yanayoongza utamu katika lugha
Mifano
1. Piga miguu – kutembea kwa miguu
2. Kutumia ubongo – Kufikiria
3. Kwenda haja – Kwenda msalani
4. Piga chafya – chemua
5. Piga pasi – nyosha nguo
6. Kufa moyo – kata tamaa
7. Aga dunia – fariki, kata roho, kufa
8. Bidii ya mchwa – bidii kubwa
9. Kufunga safari – kuanza safari
10. Amiri jeshi – kamanda; mkuu wa kikosi cha
askari
11. Ana kwa ana – Uso kwa uso
12. Kuchapa kazi – kufanya kazi
, 2|Page
13. Bega kwa bega – kwa pamoja; kwa kushirikiana
14. Biwi la moto – moto mwingi
15. Bomoa mipango – haribu mipango
16. Kaa chonjo – kuwa tayari
17. Tega sikio – kusikiliza
18. Buheri wa afya – kuwa mzima; katika hali nzuri
kiafya
19. Bwaga mali – sahau; puuza acha
20. Tia nanga – kusimama
21. Bwaga moyo – tuliza moyo
22. Chafua (mtu) moyo – Kasirisha; udhi
23. Chambua nyama – toa nyama mfupani
24. Chapa kibao – piga kofi, tia adhabu
25. Vuja pesa – kutumia pesa vibaya
26. Kukata kiu – kunywa maji
27. Chapua miguu – tembea haraka haraka
28. Chemsha bongo – fikiri sana
29. Chemka – kasirika
30. Chanda na pete – rafiki wakubwa
31. Choma kisu – dunga kisu; shambulia kwa kisu
32. Kufua dafu – kufaulu
33. Kupanda ngazi – kuendelea
34. Angukia patupu – kutopata kitu