1|Page
Msamiati - Hosipitali
Mahali wagonjwa wanapopata matibabu
Hospitali ni mahali ambapo wagonjwa henda kupokea matibabu wakati
wameugua.
Hospitlaini tunaweza kupata watu kama vile Daktari, Muuguzi, na
magonjwa.
Mgonjwa ni mtu ambaye anaugua.
Magonjwa madogo madogo hutibiwa katika Zahanati au dispensary.
Tunaweza kupata vifaa mbalimbali kama vile bendeji, sindano, machela,
Kitata, sirinji, plasta, dawa nakadhalika.
Msamiati wa Hospitali
To suffer from tuberculosis - Ugua kifua kikuu
Effects - Athari
Medication - Tiba
Medication - Matibabu
To get blood tested - Kupimwa damu
,2|Page
Body Temperature - Joto la mwili
To suffer from - Ugua
Changes - Mabadiliko
Is there any changes - Kuna mabadiliko
yoyote
Operation - Upasuaji
Preserve - Hifadhi
To spread - Kusambaa
Corona virus - Virusi vya korona
Avoid crowds - Epuka umati wa watu
To circumcise - Pasha tohara
To get circumcised - Pashwa tohara
To become thin - Konda
To become fat - Nenepa
To become weak - Kuwa dhaifu
First aid - Huduma ya kwanza
Nerve - Neva
Quarantine - Karantini
Spread - Sambaa
Infect - Ambukiza
To Test - Kupima
Blood - Damu
To get tested - Kupimwa
, 3|Page
Accident - Ajali
The victims - Waathiriwa
The survivors - Manusura
The patient is sleeping - Mgonjwa analala
How is the sick doing - Mgonjwa
anaendeleaje
He/she has recovered - Amepata nafuu
Danger - Hatari
It’s dangerous - Ni hatari
Infections - Maambukizi
Signs - Dalili
Blood pressure - Shinikizo la damu
Vaccine - Chanjo
Allergy - Mzio
Asthma - Pumu
Sugary foods - Vyakula vya sukari
Avoid - Epuka
Nutrients - Virutubisho
Vitamins - Vitamini
Carbohydrates - Wanga
Proteins - Protini
Tuberculosis - Kifua Kikuu
To diarrhea - Kuendesha
Msamiati - Hosipitali
Mahali wagonjwa wanapopata matibabu
Hospitali ni mahali ambapo wagonjwa henda kupokea matibabu wakati
wameugua.
Hospitlaini tunaweza kupata watu kama vile Daktari, Muuguzi, na
magonjwa.
Mgonjwa ni mtu ambaye anaugua.
Magonjwa madogo madogo hutibiwa katika Zahanati au dispensary.
Tunaweza kupata vifaa mbalimbali kama vile bendeji, sindano, machela,
Kitata, sirinji, plasta, dawa nakadhalika.
Msamiati wa Hospitali
To suffer from tuberculosis - Ugua kifua kikuu
Effects - Athari
Medication - Tiba
Medication - Matibabu
To get blood tested - Kupimwa damu
,2|Page
Body Temperature - Joto la mwili
To suffer from - Ugua
Changes - Mabadiliko
Is there any changes - Kuna mabadiliko
yoyote
Operation - Upasuaji
Preserve - Hifadhi
To spread - Kusambaa
Corona virus - Virusi vya korona
Avoid crowds - Epuka umati wa watu
To circumcise - Pasha tohara
To get circumcised - Pashwa tohara
To become thin - Konda
To become fat - Nenepa
To become weak - Kuwa dhaifu
First aid - Huduma ya kwanza
Nerve - Neva
Quarantine - Karantini
Spread - Sambaa
Infect - Ambukiza
To Test - Kupima
Blood - Damu
To get tested - Kupimwa
, 3|Page
Accident - Ajali
The victims - Waathiriwa
The survivors - Manusura
The patient is sleeping - Mgonjwa analala
How is the sick doing - Mgonjwa
anaendeleaje
He/she has recovered - Amepata nafuu
Danger - Hatari
It’s dangerous - Ni hatari
Infections - Maambukizi
Signs - Dalili
Blood pressure - Shinikizo la damu
Vaccine - Chanjo
Allergy - Mzio
Asthma - Pumu
Sugary foods - Vyakula vya sukari
Avoid - Epuka
Nutrients - Virutubisho
Vitamins - Vitamini
Carbohydrates - Wanga
Proteins - Protini
Tuberculosis - Kifua Kikuu
To diarrhea - Kuendesha