Mazoezi ya Kiswahili. Jibu maswali yafuatayo
(Majibu yako mwisho wa zoezi)
1
Jaza pengo kwa kutumia“vizuri”au“vibaya”
1. Dereva Hodari anaendesha gari_____________
2. Mtoto anafaa Kucheza_______________
3. Mwalimu anafaa afundishe__________
2
Tumia Kitenzi sahihi kujaza pengo
1. Mwalimu alitu__________Kiswahili (ruka,fundisha)
2. Ami ana_________shambani. (lima, osha)
3. Binamu ali__________kucha. (panda,kata)
3
Tumia “hao” au “huyu” kujaza mapengo kwa usahihi
1. Kijana_____________ni mwerevu.
2. Wanafunzi___________ walichelewa.
3. Mtoto____________Analia.
Page | 1
, 4
Tumia“hili”au“haya”kujaza mapengo.
1. Jiwe__________________
2. Macho________________
3. Maembe_______________
4. Ua____________________
5
Piga mstari herufi kubwa kwenye sentensi zifuatazo.
1. Shule yetu inaitwa Hekima.
2. Mlima wa Kilimanjaro unavutia.
3. Mjomba wangu anaishi Kabuku.
4. Siku ya Jumamosi sisi hupumzika.
6
Tunga sentensi ukitumia maneno haya.
1. gari dogo _________________________
2. shangazi __________________________
3. shule ____________________________ __
4. Mavazi_________________________ ___
Page | 2