Kiswahili Lessons Kubwa na ndogo with puzzle
MSAMIATI WA KISWAHILI NA MAFUMBO FOR BEGINNERS
KUBWA NA NDOGO / BIG AND SMALL
Mti huu ni mkubwa Mti huu ni mdogo
m-ti huu ni m-ku-bwa m-ti huu ni m-do-go
This tree is big This tree is small
Nyumba hii ni kubwa Nyumba hii ni ndogo
Nyu-mba hii ni k-u-bwa Nyu-mba hii ni n-do-go
This house is big This house is small
Mbwa huyu ni mkubwa Mbwa huyu ni mdogo
m-bwa hu-yu ni m-ku-bwa M-bwa hu-yu ni m-do-go
This dog is big This dog is small
Page 1 of 11
, Kiswahili Lessons Kubwa na ndogo with puzzle
Samaki huyu ni mkubwa Samaki huyu ni mdogo
Sa-ma-ki hu-yu ni m-ku-bwa Sa-ma-ki hu-yu ni m-do-go
This fish is big This fish is small
Paka huyu ni mkubwa Paka huyu ni mdogo
Pa-ka hu-yu ni m-ku-bwa Pa-ka hu-yu ni m-do-go
This cat is big This cat is small
Meza hii ni kubwa Meza hii ni ndogo
Me-za hii ni ku-bwa Me-za hii ni ndo-go
This table is big This table is big
Page 2 of 11