VIVUMISHI VIASHIRIA / DEMONSTRATIVE PRONOUNS
a. Viashiria ni maneno ya kuonyeshea. Pia huitwa “vionyeshi”
b. Viashiria huonyesha ni wapi nomino ilipo.
c. Vivumishi viashiria huonyesah umbali wa mahali kutoka ilipo nomino. Umbali huo
unaweza kuwa karibu, mbali kidogo au mbali sana
Mifano ya viashiria
1) Huyu – This
2) Hawa- These
3) Huyo – That
4) Hao – Those
5) Yule – That
6) Wale – Those
In singular
1. Huyu – this one
2. Huyo – that one
3. Yule – that one
In plural
1. Hawa – these ones
2. Hao – those
3. Wale – those
Demonstrative pronouns vocabulary practice quiz / viashiria msamiati mazoezi ya Kiswahili
, Page 2 of 23
Viashiria
Hapa Hapo Pale
Huyu Huyo Yule
Hiki Hicho Kile
Hizi Hizo Zile
Hili Hilo Lile
Haya Hayo Yale
Huu Huo Ule
MIFANO KATIKA SENTENSI EXAMPLES IN SENTENCES
1. Msichana huyu ni mukubwa kuliko yule 1. This girl is older than that one
Demonstrative pronouns vocabulary practice quiz / viashiria msamiati mazoezi ya Kiswahili
, Page 3 of 23
2. Jani hili la mwembe limekauka 2. This mango leaf is dry
3. Tupa mpira huo 3. Throw the ball
4. Shuleni humu mna maji 4. There is water in the school
5. Tom huyo amefeli hisabati 5. That Tom has failed in mathematics
VIASHIRIA VYA KARIBU
Mifano ya viahsiria vya karibu ni :
hapa, huku, humu
Sentensi mfano / Example sentences
1) Mahali hapa pana uchafu sana. / This place is very dirty
2) Mtoto huyu anacheza. / This child is playing.
3) Huyu ni Salim. / This is Salim
VIAHISIRIA VYA KARIBU (UMOJA)
Hiki (ki-vi) Hii (I-Zi) Huyu (A-Wa) Huu (U-I)
Hiki ni kitabu Hii ni meza Huyu ni dereva Huu in mlango
VIAHISIRIA VYA KARIBU (WINGI)
Hiki (ki-vi) Hii (I-Zi) Huyu (A-Wa) Huu (U-I)
Demonstrative pronouns vocabulary practice quiz / viashiria msamiati mazoezi ya Kiswahili