MTIHANI WA LIKIZO FUPI MUHULA WA TATU-2022 MWONGOZO WA KUSAHIHISHA
a. r- Kimandende p- Kipasuo m- Nazali ( AL 1×3) b. Ala songezi – ala ambazo husongeasongea kwenye viungo vingine vya kutamkia wakati mtu anapotamka sauti za Kiswahili.Mfano , Ulimi n Midomo. Ala tuli-viungo ambavyo vimetulia na havisongi wakati wa kutamka, mfano, meno, ufizi, kaakaa laini, kaakaa ngumu na chemba cha pua au koo. (AL 1×4) c. Konsonanti na Irabu -konsonanti inapotamkwa mkondo wa hewa kutoka mapafuni huzuiwa na ala za matamshi ilhali irabu zinapotamkwa hewa haizuiwi na chpchote katika mkondo wa hewa. (AL 1×2,1×2) d. Sauti-kipashio kidogo kabisa ambacho huunganishwa ili kuunda silabi. Silabi- kipashio kinachoundwa baada ya kuunganisha sauti mbili na huweza kutamkwa kwa pamoja kama fungu moja la sauti. Silabi huunganishwa kuunda neno. Neno -kipashio cha lugha kiundwacho kwa silabi moja au zaidi. Sentensi -utungo ambao huwasilisha maana na umejitosheleza kisarufi. e. -viambishi awali -Viambishi tamati (AL1) f. Pa-sha Tamalaki-ta-ma-la-ki. (AL 3) g. -ua,oa, -Kinywaji, (AL 3) h. i. -jumba ambalo vitabu huhifadhiwa kwa ajili ya kuazimwa au kusomwa na watu wengi . ii. -maktaba ya kibinafsi-huwa na mkusanyiko wa vitabu vya kibinafsi. -maktaba ya shule-huwa na vitabu vya shule na wanafunzi huenda pale kusoma -maktaba ya vyuo-huhifadhi hazina kubwa ya vitabu na machapisho mengine kwa nia ya kutumika na wanafunzi wa vyuo vikuu. -maktaba ya umma-jengo maalum katika jiji au vijiji ambalo huhifadhi vitbu kwa nia ya kuviazima raia aliyesajili au anaytaka kuvisoma. -makataba za mashirika-huhifadi vitabu na machapisho mengine kwa nia ya kukidhi mahitaji ya kiusomi na wafanyikazi wake. i.- shadda ni kutia mkazo katika neno hasaa silabi ya mwisho katika lugha ya Kiswahili. -kiimbo ni kupanda na kushuka kwa mawimbi ya sauti mtu anapozungumza. j – Tunamtara’jia -mwa’ limu. k. Mgonjwa mfupi amelala kitandani N V T E
Geschreven voor
- Instelling
- KISWAHILI
- Vak
- KISWAHILI
Documentinformatie
- Geüpload op
- 28 november 2022
- Aantal pagina's
- 2
- Geschreven in
- 2022/2023
- Type
- Tentamen (uitwerkingen)
- Bevat
- Vragen en antwoorden
Onderwerpen
-
a r kimandende p kipasuo m nazali al 1×3 b ala songezi – ala ambazo husongeasongea kwenye viungo vingine vya kutamkia wakati mtu anapotamka sauti za kiswahilimfano
-
ulimi n midomo ala tuli