USHAIRI 50 MASWALI NA MAJIBU.
USHAIRI WA 1 Soma shairi lifuatalo kwa makini halafu ujibu maswali yanayofuata 1. Naja sasa ni ndiyani, naja kwetu Mzalendo Naja nirudi nyumbani, nilowekwa nako kando Kwetu’ mi nakutamani, kulo na mwingi uhondo Nijaye ni yule nyundo, misumari hadharini 2. Naja kwingine kuwapi, kulojaa langu pendo? Huenda nende kwinginepi, sawa nako kwa muundo? Kaa kwingine anapi, ela kwenye lakwe gando? Nijaye ni ile nyundo, misumari hadharini 3. Naja nije rudi papo, panigedeme mgando Ningaambwa kwetu hapo, kwamba kwanuka uvundo Sitakwenda penginepo, tarudi kuko kwa mwando Nijaye ni ile nyundo, misumari hadharini 4. Naja sitapakimbiya, ningambwa kuna vimondo ‘Takuja kuvilekeya, vinganijiya kwa vundo nilipozawa tafiya, sikimbii kwenda kando nijaye ni ile nyundo, misumari hadharini Page | Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439 for Marking Schemes 5. Naja hiwa ‘mekomaa, kuzidi nilivyo mwando Tena n’najiandaa, kwa fikira na vitendo Kwetu nije kuifaa, na kuitiliya pondo Nijaye ni ile nyundo, misumari hadharini 6. Naja na ingawa naja, siwaeki mifundo Moyo wangu ushatuja, mawi nalotendwa mwando Ela wataoningoja, na vyao viwi vitendo Nijaye ni ile nyundo, misumari hadharini 7. a) Eleza jinsi ‘uzalendo’ wa mshairi unavyojitokeza katika beti za 1 na 2 alama 4 b) Fafanua jazanda zinazopatikana katika mshororo: Kaa kwingine anapi, ela kwenye lakwe gando? alama 2 c) Andika ubeti wa tatu katika lugha nathari alama 4 d) (i) Katika ubeti wa 5 mshairi amebadilika Eleza alama 2 (ii) Ananuia kufanya nini pindi arudipo? Alama 2 e) Eleza ujumbe unaopatikana katika ubeti wa 6 alama 2 f) Andika maneno haya katika kiswahili sanifu alama 2 a. Mwando b. Ningambwa g) Kibwagizo cha shairi kinampa sifa gani mshairi?
Geschreven voor
- Instelling
- KISWAHILI
- Vak
- KISWAHILI
Documentinformatie
- Geüpload op
- 28 november 2022
- Aantal pagina's
- 113
- Geschreven in
- 2022/2023
- Type
- Tentamen (uitwerkingen)
- Bevat
- Vragen en antwoorden
Onderwerpen
-
kulo na mwi
-
ushairi wa 1 soma shairi lifuatalo kwa makini halafu ujibu maswali yanayofuata 1 naja sasa ni ndiyani
-
naja kwetu mzalendo naja nirudi nyumbani
-
nilowekwa nako kando kwetu’ mi nakutamani