KIDATO CHA NNE – KARATASI YA PILI
MUHULA WA TATU -2022
MAKALA YA MAJIBU
1. UFAHAMU
a) Mambo yanayolete utangamano.
i. Kuketi nje jioni na kunywa kahawa pamoja.
ii. Kufanya vikao kuwa vya kawaida kuliwawezesha kukutana kila mara.
iii. Kufanya mbadala pamoja kuhusu masuala yaliyowaathiri.
iv. Kuwa na hali sawa, changamoto sawa zilizowazunguka k.v. haja ya
kuboresha matibabu, miundo msingi na makaazi.
v. Kuwa na umoja- Hali ya kujali maendeleo ya nchi yao iliwaleta pamoja.
vi. Kuyadhibiti maingiliano na mazungumzo yao ili kuwa na utaratibu maalum
wa kuyaendesha.
3 x 1 = 3 (Kumbuka hili ni swali la ufasiri mwalimu atathhmini majibu
ya mwanafunzi)
b) Mambo yanayoonyesha kuwa kupata elimu tu hakuwezi kuleta maendeleo.
i) Elimu nadharia huwa haisaidii – Elimu ikidhi haja za watu.
ii) Elimu isipotumiwa kuzalisha mapato viwandani.
iii) Elimu isaidie kuzalisha huduma na bidhaa. 2×1=2
c) Uhusiano kati ya nguzo mbalimbali za maendeleo.
i) Afya na viwanda – watu wanaweza tu kazi wakiwa na afya.
ii) Viwanda na miundomsingo – bidhaa huweza kufika na kutoka mahali mbalimbali.
iii) Makao ya watu na wafanyikazi.
iv) Elimu na maarifa. 4x1=4
d) i) Mbwembwe/midundo 3×1=3
ii) Hatua tatu za mzee kujiondokea bila kuaga.
iii) Hoja za sumaku zilizowatetea vijana.
iv) Waledi wa sumaku.
e) Tashhisi/uhuishaji/uhaishaji/uhuishi 1×1=1
f) Tulielimishana/tulitoleana maarifa/tulifunzana
g) Hoja – rai/wazo/fikra/shauri
2. UFUPISHO
a)
i) Binadamu aliumbwa kushirikiana na wenzake.
Asili ya familia ni uumbaji alioufanya Mungu ili wasaidiane.
1|Page