COMPETENCY BASED CURRICULUM
GRADE 2 - TERM 2 2021 – KISWAHILI ACTIVITIES
NAME: SCHOOL
IMLA Tumia hao,au huyu, kujaza mapengo kwa
usahihi
1. _______
22. Kijana ____ni mwerevu
2. _______
23. Wanafunzi ______walichelewa
3. ______
24. Mtoto ______analia
4. _______
Tunga sentensi ukitumia maneno haya
5. _______
25. Gari __________________________
Tumia ‘hili’ au ‘ haya’ kujaza mapengo.
26. Shangazi___________________________
6. Macho
27. Haki _______________________________
7. Maembe
28. Mavazi ______________________________
8. Jiwe
Soma hadithi kisha ujibu maswali
9. Ua
Paka na Panya
Jaza pengo kwa kutumia ‘ vizuri’’ au vizuri
Juma alipenda kucheza baada ya kula.
10. Mtoto anafaa kulelewa____
Asubuhi moja mama yake alikuwa
11. Mwalimu anafaa afundishe _____
akifanya kazi nje ya nyumba. Muda mfup
12. Gari letu ni _____
baadaye panya alipita mbio. Paka alikuwa
Piga mstari herufi kubwa kwenye sentesi
anamfukuza panya huyo. Juma aliogopa
zifuatazo
panya sana. Aliingiwa na woga akapanda
13. Siku ya Jumapili sisi hupumzika
juu ya sofa nakuanza kulia.
14. Mlima wa Kilimanjaro unavutia
Maswali
15. Shule yetu inaitwa Kayole
29. Ni nani alipenda kucheza ?_________
16. Mjomba wangu anaishi Kabuku.
30. Ni nani alikuwa akifanya kazi?_______
Tumia kitenzi sahihi kujaza pengo
31. Juma alifanya nini kwasababu ya woga?
17. Mwalimu ali _______kiswahili ( ruka,
______________
fundisha )
32. Kwa nini panya alipita mbio?__________
18. Ami ana _____shambani ( lima, osha)
19. Binamu ali______kucha (kata,kula)
Jaza herufi sahihi kwenye mapengo
20. M_tib_bu
21. H_k_