COMPETENCY BASED CURRICULUM
GRADE 2 - TERM 2 2021 – KISWAHILI ACTIVITIES
MARKING SCHEME
IMLA
1. Kofia
2. Jembe
3. Karatasi
4. Sarakasi
5. vyoo
Tumia ‘hili’ au ‘ haya’ kujaza mapengo.
6. Macho - haya
7. Maembe - haya
8. Jiwe - hili
9. Ua - hili
Jaza pengo kwa kutumia ‘ vizuri’’ au nzuri
10. Mtoto anafaa kulelewa vizuri
11. Mwalimu anafaa afundishe _vizuri_
12. Gari letu ni nzuri
Piga mstari herufi kubwa kwenye sentesi zifuatazo
13. Siku ya Jumapili sisi hupumzika
14. Mlima wa Kilimanjaro unavutia
15. Shule yetu inaitwa Kayole
16. Mjomba wangu anaishi Kabuku.
Tumia kitenzi sahihi kujaza pengo
17. Mwalimu ali _______kiswahili ( ruka, fundisha )
18. Ami ana _____shambani ( lima, osha)
19. Binamu ali______kucha (kata,kula)
Jaza herufi sahihi kwenye mapengo
20. Matibabu
21. Huku_
Tumia hao,au huyu, kujaza mapengo kwa usahihi
22. Kijana huyu ni mwerevu
23. Wanafunzi hao walichelewa
24. Mtoto huyu analia
Tunga sentensi ukitumia maneno haya