Page 1 of 7
VIVUMISHI VIMILIKISHI / POSSESSIVE ADJECTIVE
Vimilikish kwa umoja ni Kimilikishi. Kimilikishi ni neno linaloelezea kitu ni cha nani.
Yaani ni neno linalotuelezea mtu mwenye kitu hicho au mali. Vimilikishi hivi hujitokeza
katika nafsi tatu katika umoja na wingi kama ifuatavyo:
Vipo vimilikishi vya aina tatu:
Nafasi Umoja Wingi
Kwanza : Mimi / sisi - angu - etu
Pili : |Wewe / nyinyi - ako - enu
Tatu : Yeye / wao - ake - ao
1. Vimilikishi hutokana na kitezi miliki. Kumiliki ni kuonyesh kitu ni chako. (haya ni
maneno yanayoonyesha kitu au hali inamilikiwa na nani).
2. Kiwakilishi ni neno ambalo huchukua nafasi ya nomino katika sentensi nomino
inapoondolewa.
Mfano:-
Zangu, yangu, lake,lako,chao, mwao, kwao lao, vyetu, wangu, chake, wenu,
vyao, wao, yake, n.k.
3. Mifano katika ngeli tofauti
Ngeli ya A-Wa
1. Umoja - Mtoto wangu amepita mtihani.
Wingi- Watoto wetu wamepita mtihani.
2. Umoja- Mwalimu wangu ni mzuri
Wingi- Walimu wetu ni wazuri
3. Umoja- Mwalimu wako ni mrembo
Wingi- Walimu wenu ni warembo
4. Umoja- Mwalimu wake ni mkarimu
Wingi- Walimimu wao ni wakarimu
VIVUMISHI VIMILIKISHI / POSSESSIVE ADJECTIVES
, Page 2 of 7
UMOJA WINGI
Mfuko wangu ni mkubwa Mifuko yetu mikubwa
Mfuko wako ni mkubwa Mifuko yenu mikubwa
Mfuko wake ni mkubwa Mifuko yake mikubwa
Ngeli ya Ki-Vi
Umoja- Kikombe chako kimevunjika.
Wingi- Vikombe vyenu vimevunjika.
UMOJA WINGI
Chungu Changu ni kipya Vyungu Vyangu ni vipya
Chungu Chetu ni kipya Vyungu Vyetu ni vipya
Chungu Chako ni kipya Vyungu Vyako ni vipya
Chungu Chenu ni kipya Vyungu Vyenu ni vipya
Chungu Chake ni kipya Vyungu Vyake ni vipya
Chungu Chao ni kipya Vyungu Vyao ni vipya
Ngeli ya Li-Ya
Umoja- Tunda lake limeiva.
Wingi- Matunda yao yameiva.
UMOJA WINGI
Bega langu ni kubwa Mabega yangu ni makubwa
Bega letu ni kubwa Mabega yetu ni makubwa
Bega lako ni kubwa Mabega yako ni makubwa
Bega lenu ni kubwa Mabega yenu ni makubwa
Bega lake ni kubwa Mabega yake ni makubwa
Bega lao ni kubwa Mabega yao ni makubwa
Ngeli ya I-zi