Geschreven door studenten die geslaagd zijn Direct beschikbaar na je betaling Online lezen of als PDF Verkeerd document? Gratis ruilen 4,6 TrustPilot
logo-home
Samenvatting

Summary INSHA & USHAIRI NOTES Carefully compiled the Smart way

Beoordeling
-
Verkocht
-
Pagina's
23
Geüpload op
28-11-2022
Geschreven in
2022/2023

Utungo unaoundwa kwa mfululizo wa sentensi zinazozungumzia jambo, tukio au kitu fulani Aina 1. INSHA ZA KAWAIDA a) Insha ya Picha  Ambapo mwanafunzi amepewa picha kadha na kutakiwa kutunga kisa na kueleza yote yanayotokea kwenye picha hizo. Chunguza vizuri ujue kinachotokea katika hizo picha.  Kichwa kiafikiane na picha ulizopewa. Kila picha ipangwe na kuwa na aya moja. b) Insha ya Methali  Insha inayosimulia kisa kinachoonyesha ukweli au uongo wa methali Fulani.  Wazia methali nyingine za kutilia mkazo methali uliyopewa. Muundo  Kichwa methali yenyewe  Utangulizi i. Maana ya juu/wazi i. Maana ya ndani/batini  Mwili  kisa kinachofungamana na methali cha kweli au cha kubuni  Hitimisho  funzo/maadili c) Insha ya Maelezo  Inayohusu kutoa ufafanuzi kuhusu mahali, kitu au jambo fulani kama vile ugonjwa wa ukimwi, umuhimu wa maji, n.k. d) Insha ya Masimulizi  Ambapo unatakiwa kusimulia hadithi, kisa au tukio kuhusu jinsi mambo fulani yalivyotokea. Huweza kuanzia kwa ‘Ilikuwa...' e) Insha ya Mdokezo  Ambapo umepewa mdokezo wa kuanzia (xxx...) au kumalizia (...xxx) k.m. ‘...tangu siku hiyo alikula yamini kutopuuza ushauri wa wazazi wake tena' f) Insha ya Mjadala  Ambapo unatakiwa kujadili suala fulani k.m. ‘Shule za mabweni zina manufaa' au ‘Kujiajiri ni bora kuliko kuajiriwa' Jadili. Unapaswa:  Kuunga  Kupinga  Kutoa uamuzi kutegemea upande ulio na hoja nyingi au nzito. g) Insha ya Mawazo  Inayohusu mambo ya kuwaza kuhusu jambo fulani k.m. ‘MIMI NYUKI'  Ni nani asiyenifahamu mimi nyuki. a) Insha ya Mazungumzo  Maongeo ya kawaida ambayo huandikwa kama tamthilia  MAZUNGUMZO BAINA YA... Muundo  Kichwa  Jina la msemaji kwa herufi kubwa likifuatwa na koloni  Maneno ya msemaji  maelezo ya mandhari na vitendo vya msemaji kwenye mabano  Wazungumzaji wasikike kama watu wa kawaida  Pawepo na sentensi ndefu na fupi  Matumizi ya vihisishi  Ukatizaji wa maneno... 2. TUNGO ZA KIUAMILIFU  Ambazo hutekeleza kazi maalum na huwa na muundo maalum. Dayalojia  Mazungumzo kati ya watu wawili au zaidi kuhusu jambo au mada fulani  DAYALOJIA BAINA YA...  Huwa na utangulizi, mwili na hitimisho Mahojiano  Mazungumzo yanayoendeshwa kwa muundo wa maswali na majibu  (MAHOJIANO BAINA YA...) Barua ya Kirafiki  Inayoandikwa kwa ndugu, jamaa na marafiki. Muundo  Anwani ya mwandishi (wima au mshazari. Jina lisiwekwe!)  Tarehe ya kuandikwa barua (22 Februari, 2011)  Mwanzo wa barua (kwa ... mpendwa/kwenu...  utangulizi (salamu, kumjuliana hali)  mwili/yaliyomo (ujumbe)  Hitimisho (Kwa leo sina mengi. Wasalimie jamaa wote. Ni mimi wako/wenu, Jina (wima au mshazari) Barua Rasmi/Kwa Mhariri  Barua ambazo huandikwa na kutumwa ofisini kwa kutaka kuomba kazi, kuomba

Meer zien Lees minder
Instelling
KISWAHILI
Vak
KISWAHILI










Oeps! We kunnen je document nu niet laden. Probeer het nog eens of neem contact op met support.

Geschreven voor

Instelling
KISWAHILI
Vak
KISWAHILI

Documentinformatie

Geüpload op
28 november 2022
Aantal pagina's
23
Geschreven in
2022/2023
Type
SAMENVATTING

Onderwerpen

€11,49
Krijg toegang tot het volledige document:

Verkeerd document? Gratis ruilen Binnen 14 dagen na aankoop en voor het downloaden kun je een ander document kiezen. Je kunt het bedrag gewoon opnieuw besteden.
Geschreven door studenten die geslaagd zijn
Direct beschikbaar na je betaling
Online lezen of als PDF

Maak kennis met de verkoper

Seller avatar
De reputatie van een verkoper is gebaseerd op het aantal documenten dat iemand tegen betaling verkocht heeft en de beoordelingen die voor die items ontvangen zijn. Er zijn drie niveau’s te onderscheiden: brons, zilver en goud. Hoe beter de reputatie, hoe meer de kwaliteit van zijn of haar werk te vertrouwen is.
SIRTHEA Chamberlain College Of Nursing
Volgen Je moet ingelogd zijn om studenten of vakken te kunnen volgen
Verkocht
24
Lid sinds
4 jaar
Aantal volgers
24
Documenten
610
Laatst verkocht
1 jaar geleden
SAGACITY//////////////////////////////////////////

Hi,I'm Sirthea am expert on courses like;Nursing,Law,Psychology,Human Resource Management.I will be providing you with quality study materials everyday.I do ensure scolarly standards in my documents and i assure you a GOOD GRADE if you use my study resources.Please Don't forget to Review after using my resources.Thank You!

5,0

1 beoordelingen

5
1
4
0
3
0
2
0
1
0

Recent door jou bekeken

Waarom studenten kiezen voor Stuvia

Gemaakt door medestudenten, geverifieerd door reviews

Kwaliteit die je kunt vertrouwen: geschreven door studenten die slaagden en beoordeeld door anderen die dit document gebruikten.

Niet tevreden? Kies een ander document

Geen zorgen! Je kunt voor hetzelfde geld direct een ander document kiezen dat beter past bij wat je zoekt.

Betaal zoals je wilt, start meteen met leren

Geen abonnement, geen verplichtingen. Betaal zoals je gewend bent via iDeal of creditcard en download je PDF-document meteen.

Student with book image

“Gekocht, gedownload en geslaagd. Zo makkelijk kan het dus zijn.”

Alisha Student

Bezig met je bronvermelding?

Maak nauwkeurige citaten in APA, MLA en Harvard met onze gratis bronnengenerator.

Bezig met je bronvermelding?

Veelgestelde vragen